Audio & Video

TARURA wasikia kilio cha watumiaji wa barabara mkoani Mwanza

on

George Binagi-GB Pazzo @BMG Habari

Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini TARURA mkoani Mwanza umesaini mikataba yenye thamani ya shilingi Bilioni Moja na Milioni 488 kwa ajili ya kukarabati barabara za lami zilizoharibika Jijini Mwanza pamoja na miradi mingine katika wilaya za Magu na Ukerewe.

Bonyeza HAPA ubovu wa baadhi ya barabara Jijini Mwanza ama tazama video hapo chini

Recommended for you