Audio & Video

RC Ruvuma afunguka mwalimu aliyempa mwanafunzi mimba

on

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza mwalimu wa sekondari aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya msingi achukuliwe hatua za kisheria haraka iwezekanavyo.

Recommended for you