Michezo

Timu ya Simba yawasili salama nchini Uturuki

on

Timu ya soka ya Simba imewasili salama nchini Uturuki ambako imeweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara pamoja na michuano ya kimataifa. Pichani ni wachezaji, benchi la ufundi likiongozwa na Kocha Msaidizi,  Masoud Djuma walipowasili nchini humo. Picha na Rabi Hume

Recommended for you