Audio & Video

Tunakumbushana-Tanzania na Mstakabali wa Katiba Mpya

on

Mwaka 2010 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais wa awamu ya nne Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete ilianza mchakato wa kupata Katiba Mpya. Hata hivyo mchakato huo umesimama kwa muda usiojulikana.

Hii leo Makala ya #Tunakumbushana kutoka BMG imeangazia mchakato huo wa Katiba Mpya nchini. Kwa manufaa ya umma, unaruhusiwa kuitumia ambapo pia inapatikana kwenye mitandao mbalimbali na tunashukuru Afya Radio ya Jijini Mwanza kwa kuirusha hewani kwa wasikilizaji wake.

Tungependa pia kusiki maoni yako kuhusu Tanzania na Mstakabali wa Katiba Mpya kwa kuweka maoni yako hapo chini ama tutumie ujumbe mfupi ukianza na neno “Katiba Yetu” na kisha tuma kwenda namba 0684 99 64 94

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you