Audio & Video

“Tunamuomba Waziri Mwakyembe Mswada huu upitishwe”-Fredrizzo

on

Tasnia ya Filamu nchini Tanzania inaendelea kukua siku baada ya siku licha ya changamoto za hapa na pale zinazoiandamana tasnia hiyo. Baadhi ya wanatasnia wanaamini kwamba upatikanaji wa Sera ya Filamu Tanzania utasaidia kuikuza tasnia hiyo ndani na nje ya nchi.

Hii leo kipindi pendwa cha burudani Tanzania #PamojaDaimaBMG kinakukutanisha na mwanatasnia Fredrizzo Artist Material kutoka Tarime mkoani Mara, fuatilia mahojiano haya kisha karibu kwa maoni zaidi ili kuiboresha tasnia ya Filamu Tanzania.

Mwanatasnia ya Filamu Fredrizzo (kulia) pamoja na mwanahabari GB Pazzo (kushoto).

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you