Audio & Video

MWANZA: Ufafanuzi kuhusu mikataba aliyoshuhudia Rais Magufuli

on

Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) imeingia mikataba minne na kampuni za Korea Kusini kwa
ajili ya ujenzi wa meli mpya katika Ziwa Victoria, chelezo pamoja na ukarabati wa meli za MV. Victoria na MV. Butiama yenye thamani ya shilingi bilioni 152.
 
Kaimu Mkurugenzi wa MSCL, Eric Hamissi (pichani juu) ametoa ufafanuzi wa mikataba hiyo kwenye hafla iliyofanyika leo kwenye bandari ya Mwanza Kusini na kushuhudiwa na Rais Dkt. John Magufuli.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella akitoa salamu zake kwenye hafla hiyo
Mikataba iliyosainiwa
Wadau mbalimbali walioshuhudia hafla hiyo

Recommended for you