Audio & Video

Hoja kuhusu Ukatili wa Kijinsia katika kuelekea Uchumi wa Viwanda

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2018, shirika la OXFAM kwa kushirikiana na shirika la KIVULINI limeendesha Mjadala wa Wanamabadiliko mkoani Mwanza.

Mjadala/ mdahalo huo ulifanyika jana Jijini Mwanza na kuangazia hoja mbalimbali ikiwemo Mpango wa serikali kutokomeza Ukatili wa Kijinsia katika kuelekea Uchumi wa Viwanda.

Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa tarehe 08.03 ya kila mwaka. Fuatilia hoja za baadhi ya wanamabadiliko kwenye mdahalo huo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Bonyeza HAPA kwa mjadala zaidi.

Recommended for you