Audio & Video

Shuhudia tu lakini usijaribu mchezo huu

on

Msanii wa nyimbo za asili kutoka kundi la Ngusa akitumbuiza hivi karibuni wilayani Nyang’hwale.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mei 16, 2018 shirika la Amref lilikabidhi baiskeli 434 kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika halmashauri za wilaya Nyang’hwale na Geita mkoani Geita ili kuwarahisishia usafiri katika kuwafikia wananchi.

Kulikuwa na michezo ya aina mbalimbali iliyowaacha hoi wananchi waliofika katika uwanja wa Sabasaba ilipofanyika hafla hiyo. Shuhudia mwenyewe hapa chini 

SOMA HABARI HII PIA Shirika la AMREF lakabidhi baiskeli kwa wahudumu wa afya mkoani Geita

Recommended for you