Habari Picha

Usikose siku ya mwisho ya “Semina ya Neno la Mungu” Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza

on

Leo jumapili ni siku ya mwisho ya Semina ya Neno la Mungu katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya, lililopo nyumba ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.

Semina hiyo ilianza tangu jumanne Januari 30,2018 na inatamatika leo jumapili Februari 04,2018 kanisani hapo, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola na Mchungaji Mercy Kulola inaamatana na huduma mbalimbali ikiwemo maombezi kwa watu wote. Wasiliana na Mchungaji Dkt.Kulola 0767 74 90 40 kwa msaada wa kiroho!

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kuona huduma kwenye semina hiyo

 

Recommended for you