Audio & Video

“Usitegemee kuajiriwa tu, waza shughuli ya ziada pia”-Binamungu

on

Projestus Binamungu ni mwandishi wa habari kutoka Star Tv (Sahara Media Group) aliyejipatia mafanikio makubwa katika tasnia ya habari.

Leo anazungumza kwa ufupi na wanahabari wenzake kupitia BMG Habari #PamojaDaima juu ya kufikiria kuwa na kazi ya ziada hata kama umeajiriwa.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you