Audio & Video

Ojadact watoa tamko sakata la Mwandishi wa Habari kupotea wilayani Kibiti

on

Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania OJADACT, kupitia kwa Mwenyekiti wake Edwin Soko leo jumatano Disemba 06,2017 kimekutana na waanahabari Jijini Mwanza na kutoa tamko kali la kulaani tukio la kupotea kwa mwandishi Azory Gwanda tangu Novemba 30 mwaka huu.

BMG Habari #PamojaDaima tumekusogezea taarifa hiyo kwa undani zaidi…

Recommended for you