Audio & Video

Kampeni maalum ya kutokomeza ukatili yazinduliwa wilayani Misungwi

on

Mkuu wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Mhe.Juma Sweda amezindua kampeni maalum ya kutokomeza aina zote za ukatili wa kijinsia wilayani humo itakayodumu kwa kipindi cha miezi miwili.

Kampeni hiyo imezinduliwa jana Julai 04, 2018 katika Kata ya Nundulu ikisimamiwa na halmashauri ya wilaya ya Misungwi kwa kushirikiana na shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI.

PIA SOMA Watendaji na viongozi Misungwi wapewa mafunzo kukabiliana na ukatili wa kijinsia

Recommended for you