Audio & Video

Wafanyakazi wa TBL Mwanza wafanya usafi mto Mirongo

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Wafanyakazi wa kampuni ya bia nchini, TBLwamefanya usafi wa kuondoa uchafu uliokuwa umetanda daraja la mto Mirongo unaomwaga maji yake Ziwa Victoria, Jijini Mwanza.

Pia vijana wa skauti Jijini Mwanza pamoja na maafisa mazingira halmashauri ya Jiji la Mwanza, wameshiriki zoezi hilo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya mazingira, iliyoadhimishwa kitaifa Juni Mosi hadi tano mwaka huu Butiama mkoani Mara.

PICHA TBL wafanya usafi mto Mirongo Jijini Mwanza

Recommended for you