Audio & Video

Viongozi wa dini na wananchi wafurahia ujio wa CT Scan Bugando

on

Mashine hiyo ya uchunguzi wa mwili wa mwanadamu CT Scan (Computerized Tomography Scan) inatarajiwa kuzinduliwa kesho ijumaa Januari 26,2018 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Waziri.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima habari zilizopita.

Recommended for you