Audio & Video

Wachimbaji madini Simanjiro watakiwa kuwa watulivu

on

Naibu Waziri wa Madini Mhe. Mwl. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wachimbaji wa madini ya vito (Ruby) katika machimbo ya Kitwai A, wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, hii leo Oktoba 08, 2018 ambapo amewataka wasio na leseni ya uchimbaji kuwa watulivu na kusitisha shughuli zao wakati serikali inashughulikia maombi yao.

Recommended for you