Audio & Video

Mwanza wadhamiria kufufua kwa kasi zao la pamba

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Jana Mei 24, 2018 viongozi mkoani Mwanza wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa John Mongella walifanya ziara wilayani Misungwi kujionea msimu wa ununuzi wa zao la pamba baada ya kuzinduliwa rasmi na waziri mkuu Kassim Majaliwa Mei Mosi, 2018 Igunga mkoani Tabora.

Kwa pamoja vongozi na watendaji mkoani Mwanza wamedhamiria kufufua zao la pamba kupitia vyama vya msingi vya ushirika AMCOS ili kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.

ISOME PIA HABARI HII Mkuu wa Mkoa Mwanza akagua vituo vya ununuzi wa pamba

Recommended for you