Habari Picha

Wakulima na wafugaji Kanda ya Ziwa waunganishwa na masoko

on

Wazalishaji wa bidhaa za kilimo na ufugaji Kanda ya Ziwa wameanza mchakato wa kuingia mikataba ya ushirikiano baina ya wanunuzi wa bidhaa hizo ili kuimarisha zaidi uhakika wa soko la bidhaa zao. Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Mkuu wa wilaya Misungwi, Mhe.Juma Sweda akifungua semina maalum iliyowakutanisha wazalishaji wa bidhaa za kilimo na ufugaji iliyofanyika leo kwenye Nyamhongolo Jijini Mwanza

Katibu Tawala wilayani Misungwi akitoa salamu zake kwenye semina hiyo

Mwita Mchuni ambaye ni Meneja Mradi, taasisi ya Global Communities akizungumza kwenye semina hiyo

Mratibu wa taasisi ya Global Communities, Patrick Tungu (katikati) akisikiliza mmoja wa washiriki wa semina hiyo

Mmoja wa washiriki kutoka taasisi ya TAHA akizungumza kwenye semina hiyo

Recommended for you