Audio & Video

WANAFUNZI WAKICHEZA CHINEKE YA ROSE MUHANDO

on

Septemba Mosi 2017 kulikuwa na mahafali ya 11 ya darasa la saba katika shule ya msingi Eden Jijini Mwanza. Miongoni mwa burudani zilizovutia wengi, ni pamoja na wahitimu kucheza wimbo wa Rose Muhando-Chineke.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kwa picha zaidi

Recommended for you