Audio & Video

“Wananchi wa Tarime Siyo Wajinga Kiasi Hicho”-Mwenyekiti Chadema

on

Mwenyekiti wa Chadema wilayani Tarime Lucas Ngoto amekosoa vikali uamuzi uliochukuliwa na aliyekuwa diwani wa Kata ya Turwa wilayani humo, Zakayo Wangwe wa kutimkia CCM na kusema ikiwa ni uamuzi sahihi angeitisha mkutano na kuwaaga wananchi waliomchagua.

Wangwe ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Tarime Chacha Zakayo Wangwe alitangaza kuhamia CCM jana ijumaa Januari 05,2018 kwa madai kwamba chama chake kimepoteza dira na hivyo kuamua kuunga mkono juhudi za Rais Dkt.John Magufuli.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you