Audio & Video

Wanandoa Tuwekane Sawa Hapa

on

Kuna vijitabia flani huwa baadhi ya wanaume wanavyo na huwa hawajui kama vinawakera wake zao kwenye mahusiano ya ndoa.

Ungana na BMG Habari #PamojaDaima tufundishane na kukumbushana vijitabia hivyo ili tuviache na kurudisha heshima ya ndoa.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you