Audio & Video

“Wanawake watakuwa na nguvu kuliko Wanaume”-Joyce Kiria

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Ni katika Mdahalo/ Mjadala wa Wanamabadiliko mkoani Mwanza ulioandaliwa na Shirika la OXFAM kwa kushirikiana na KIVULINI katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa March 08 kila mwaka.

Bonyeza HAPA kufuatilia mjadala zaidi.

Recommended for you