Audio & Video

Watoa Huduma za Afya Jijini Mwanza wafurahia ushirikiano baina ya Sekta binafsi na Umma

on

BMG Habari-Pamoja Daima!

Machi 20 mwaka huu watoa huduma za afya binafsi Jijini Mwanza (Nyamagana na Ilemela) walisaini Mkataba wa Mashirikiano baina ya Sekta ya Umma na Binafsi ili kutoa bure huduma za afya kwa upande wa akina mama na watoto.

Baada ya mkataba huo kusainiwa, baadhi ya watoa huduma za afya walizungumza na BMG kuelezea manufaa yatakayopatikana hususani kuboresha huduma za mama na mtoto.

Bonyeza HAPA kusoma zaidi.

Recommended for you