Audio & Video

Taarifa muhimu kwa watumiaji wa huduma za nishati na maji

on

Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) Mhandisi Goodluck Mmari, akizungumza na wanahabari kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za nishati na maji. Ni hivi karibuni nje ya semina kwa viongozi wa bodaboda iliyofanyika Jijini Mwanza.

PIA SOMA Bodaboda mkoani Mwanza wapewa semina na EWURA

Recommended for you