Audio & Video

Wauzaji wa dawa za wadudu na mabingwa wa Fumigation Tanzania

on

Wanatoa huduma ya usafi na kupulizia dawa za kuua wadudu kwa kutumia wataalamu yaani “Fumigation” katika maeneo mbalimbali kama vile majumbani, mashuleni, vyuoni, maofisini, mahospitalini, mashambani na kwenye vyombo vya usafiri ikiwemo mabasi, daladala, meli, treni na ndege.

Mawasiliano zaidi 0764 98 94 90

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you