Audio & Video

TARIME: Wazee wa Kimila, Mangariba waonya kuhusu Ukeketaji

on

Mkurugenzi wa Shirika la kutetea haki za wanawake na wasichana Kivulini la Jijini Mwanza, Yassin Ally akizungumza wakati wa semina kwa wazee wa mila ,Ngariba, viongozi wa serikali za mitaa, jeshi la polisi, viongozi wa dini, wataalamu wa afya pamoja na wadau mbalimbali kuhusu kupinga ukatili kwa wanawake na wasichana wilayani Tarime.

Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo.

semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa hotel ya Blue Sky mjini Tarime.

SOMA>>>Kampeni ya kutokomeza Ukatili Misungwi yahitimishwa kwa mafanikio

Recommended for you