Audio & Video

Karibu tena Mwanza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

on

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Juni 09, 2018 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa aliwasili Jijini Mwanza (SOMA HAPA) kufungua mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kitaifa (SOMA HAPA) ambapo jioni aliandaa hafla ya kufuturisha viongozi mbalimbali (SOMA HAPA). Hii leo BMG Online TV inakukumbusha ilivyokuwa Juni 10, 2018 wakati akiondoka katika uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhe.John Mongella.

Waziri Mkuu akiagana na viongozi mbalimbali

 

 

 

 

 

SOMA Waziri Mkuu awahimiza Wasabato kushirikiana na serikali

Recommended for you