Audio & Video

Waziri wa Afya azindua Mashine ya kisasa ya CT SCAN Bugando Jijini Mwanza

on

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijiandaa kukata utepe kuashiria uzinduzi wa Mashine ya Kisasa ya CT SCAN katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando Jijini Mwanza, hii leo ijumaa Januari 26,2018.

Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella na kulia ni Baba Askofu Flavian Kasala, Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Bugando.

Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima zoezi la uchunguzi bure wa afya

Mhe.Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza.

Jiwe la msingi.

Mhe.Ummy Mwalimu akijionea mashine hiyo ya CT SCAN.

Mashine ya CT Scan katika hospitali ya Rufaa Bugando iliyonunuliwa kutokana na mapatao ya ndani ya hospitali ya Rufaa Bugando.

 

 

Recommended for you