Audio & Video

Shehena za Mizigo, Abiria na Meli zashuka Bandari za Mwanza

on

George Binagi-GB Pazzo @BMG Habari

Imeelezwa kwamba idadi ya abiria, shehena za mizigo pamoja na meli katika Bandari za mkoa wa Mwanza imeendelea kupungua katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Mkuu wa Bandari ya Mwanza, Daniel Sira akizungumza jana kwenye ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 13 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA. Kushoto ni mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye ufunguzi wa maadhimisho hayo yatayofikia tamati Aprili 15,2018 katika viunga vya Bandari ya Mwanza Kaskazini. Kushoto ni viongozi mbalimbali wa TPA pamoja na ulinzi na usalama.

Michezo ya burudani na sarakasi kwenye ufunguzi wa maadhimisho hayo.

Bonyeza HAPA kusoma zaidi. Tazama ufunguzi Wiki ya Bandari Mwanza hapo chini. 

Recommended for you