Audio & Video

Ziara ya Balozi wa Ireland Jijini Mwanza

on

George Binagi-GB Pazzo @BMG

Balozi wa Ireland nchini Tanzania Paul Sherlock amefanya ziara katika ofisi za shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI lenye makazi yake Nyamhongolo Jijini Mwanza na kutoa pongezi kwa shirika hilo kutokana na kazi nzuri.

Ziara hiyo ililenga kufuatilia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la misaada la watu wa Ireland Irish Aid mkoani Mwanza, ikiwemo miradi ya afya na jinsia.

Bonyeza HAPA kwa habari zaidi.

Recommended for you