Audio & Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI aanza ziara ya kikazi Jijini Mwanza

on

George Binagi-GB Pazzo, BMG

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe.Suleiman Jaffo amewasili Jijini Mwanza kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo afya, elimu, mazingirara pamoja na barabara.

Akitokea mkoani Kagera, Waziri Jaffo amepokelea hii leo Mei 13, 2018 na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella kabla ya kuanza ziara hiyo.

Waziri Jaffo Awatahadharisha Watendaji TARURA

Recommended for you