Audio & Video

Zoezi la Uandikishaji Vitambulisho vya Taifa Jijini Mwanza

on

Zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa linaendelea mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Mwanza. Ungana na BMG Habari #PamojaDaima kujua zoezi hilo linavyoendelea Jijini Mwanza.

BMG Habari, Pamoja Daima!

Recommended for you