Habari Picha

NIKOHUB KUFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU.

on

Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku  hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo  duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za utendaji kazi katika biashara.

Dar es salaam  Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya ulioanzishwa wa kiteknolojia “Nikohub” ikiwa ni mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.

Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download  Nikohub kwenye Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili uweze kuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.

Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.

Recommended for you