Habari Picha

HABARI NJEMA KUTOKA SHULE ZA GREENHILL JIJINI DAR ES SALAAM.

on

Green Hill Schools ni shule za msingi na sekondari zinazopatikana Pugu Kajiungeni, Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam zenye sifa za wanafunzi wanaohitimu katika shule hizo kufaulu katika ufaulu mzuri.

Kumbuka Green Hill ni shule ya msingi ya kutwa na bweni na Main Green Hill ni Shule ya sekondari ya bweni. Shule zote zina mandhari safi na bora na humuwezesha mwanafunzi kujisomea vyema.

Habari njema kwa wazazi na walezi ni kwamba, mnaweza kuwapeleka wanenu katika shule za Green Hill ili wapate elimu bora.

Tembelea ukurasa wao wa facebook //www.facebook.com/The-Green-Hill-Schools-239247926088294/ kujua zaidi au piga simu nambari +255 754 806 640, +255 714 202 201, +255 784 699 668

Green Hill Schools Dar es salaam

Recommended for you