Audio & Video

VIDEO: MCHUNGAJI KULOLA ATIKISA JIJINI MWANZA.

on

Mchungaji wa kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Lumala Jijini Mwanza, amekuwa mchungaji mwalikwa katika mkutano wa injili ulioandaliwa na kanisa la EAGT Posta B Mabatini Jijini Mwanza.

Tazama sehemu ya mlipuko wa injili katika mkutano huo ikiongozwa na Mchungaji Kulola.

Mchungaji Kulola (kushoto) na Mama Mchungaji Kulola (kulia).

Recommended for you