Audio & Video

MWIMBAJI JIMMY GOSPIAN ALIVYOIBUKIA KWENYE INJILI

on

Jimmy Gospian ni mwimbaji wa muziki wa injili kutoka mkoani Geita, akifanya shughuli zake kwa sasa jijini Mwanza. Ni mshindi wa tuzo ya Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kiume katika tuzo za “Zaburi Awards 2016/17 Kanda ya Ziwa”. Anajulikana kwa nyimbo zake mbalimbali ikiwemo Nakujua Bwana. Inasisimua namna alivyoingia kwenye muziki wa injili akitokea kwenye muziki wa kidunia.

 

Recommended for you